RAIS Paul Kagame wa Rwanda, sasa hayupo tayari kukanyaga ardhi ya
Tanzania kutokana na kile kinachoonekana kuwa ni mgogoro wa kidiplomasia
unaoendelea kati yake na Rais Jakaya Kikwete. Wakati hayo yakifikia hapo, kikao cha Bunge la
Afrika Mashariki (EALA), linakoketi mjini Arusha kilivunjika baada ya
Spika wa bunge hilo, Magreth Zziwa, kugongana kauli na Mbunge mmoja wa
Rwanda jambo
↧