Wakati Tanzania ikisema kuwa iko tayari kukaa meza moja na
jirani yake Rwanda kumaliza hali ya uhasama iliyoanza kujitokeza katika
siku za hivi karibuni, Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Jumuiya ya Afrika
Mashariki, Dk Richard Sezibera amesema jitihada za kidipolomasia
zinafanyika kutatua tofauti hizo za kimawazo.
Bila kutaja taasisi wala wanaohusika katika
jitihada hizo za
↧