TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIKamati
Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa imejadili na kutolea maamuzi pamoja na
mambo mengine suala la Madiwani wanane waliotangazwa kufukuzwa uanachama
na Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Kagera.Katika maamuzi yake,
Kamati Kuu imebatilisha uamuzi uliofanywa na Halmashauri Kuu CCM ya Mkoa
wa Kagera Agosti 13, 2013 wa kuwafukuza uanachama Madiwani hao. Hivyo
↧