MBUNGE wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba (CCM), amechafua hali ya
hewa bungeni kwa kuitaka Serikali kuwachukuliwa hatua viongozi wa juu wa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Mbunge huyo alisema
mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe pamoja na Katibu Mkuu wake, Dk.
Wilbroad Slaa, wanapaswa kuchukuliwa hatua kwa madai ya kusababisha
mauaji ya raia.
Mwigulu, ambaye pia ni
↧