Mtu mmoja amefariki
dunia na 15 wamejeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Hood likitokea
kilombero kwenda jijini Dar es salaam kumgonga mtembea kwa miguu na
kisha kuacha njia na kupinduka katika eneo la Kiembeni Mikese Mkoani
Morogoro.
Mkuu
wa kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Morogoro Bonifasi Mbao
akizungumza kwenye eneo la tukio amesema chanzo cha ajali hiyo ni
↧