Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Ponda Issa
Ponda jana alisababisha kusimama kwa shughuli za Serikali wilayani
Morogoro baada ya ofisi kadhaa ikiwamo ya Mkuu wa Wilaya na baadhi ya
mitaa kufungwa ili kupisha kusikilizwa kwa kesi inayomkabili katika
Mahakama ya Mkoa wa Morogoro.
Tofauti na Agosti 19, mwaka huu wakati
aliposafirishwa kwa helikopta, jana Sheikh Ponda
↧