Mwanaume
wa nchini Kenya ambaye aliridhia kusaini mkataba wa kuchangia
mwanamke mmoja na mwanaume mwenzake amefukuzwa kazi na bosi wake.
Mwanaume
huyo Sylvester Mwendwa, ambaye mwishoni mwa wiki alitangaza hadharani
penzi lake hilo la mkataba na mwanamke mjane, amesema bosi wake
amemfukuza kazi ya bucha aliyokuwa akiifanya baada ya kusikia habari
hiyo.
Mwendwa
ambaye alikiri kuwa
↧