MANAIKI SANGA ATIWA MBARONI.....PICHA ZA UCHI ZIMEMPONZA....HIZI NI PICHA...
<!-- adsense --> Jeshi la polisi kanda ya Dar es Salaam linadaiwa kumtia mbaroni msanii anaetuhumiwa kupiga picha chafu na wanawake mchanganyiko wakiwema mamiss maarufu na baadae kusambaza...
View ArticleFOOLISH AGE YA LULU MICHAEL YAPIGWA STOP KUTOKANA NA MAVAZI YA NUSU UCHI...
Msanii wa filamu Elizabeth Michael (Lulu) akiweka sahihi yake kuashiria amekubaliana na taratibu zote alizoelekezwa na Bodi ya Filamu wakati wa ukaguzi wa filamu yake ya “Foolish Age”.Katibu Mtendaji...
View ArticlePICHA ZA UCHI ZA MPENZI WA DIAMOND ZAVUJA....
<!-- adsense --> Mwanamziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amegeuka gumzo nchini Kenya baada ya mrembo mmoja aliyejipatia jina kupitia Runinga ya KTN, Angel Maggy kutangaza penzi lao upya kwa...
View ArticleMTOTO AFANYISHWA MAPENZI MDOMONI NA ZEE LA MIAKA 54 HUKO MPANDA
Fundi baiskeli mmoja mkaazi wa mtaa wa Nsemlwa, wilaya ya Mpanda, mkoa wa Katavi, Athumani Mussa (54) amefikishwa jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Wilaya ya Mpanda kwa tuhuma za kumlawiti...
View Article"NAJIONA MWENYE FAHARI KUTONGOZWA NA NAY WA MITEGO"...NISHA
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amesema hata kama msanii Nay wa Mitego akiwa na mpenzi mwigine kwa sasa lakini anajivunia kupendwa na kijana huyo kwani alihangaika sana kumpata....
View ArticleKANISA LACHOMWA MOTO JIJINI DAR
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Jimbo la Kati, Usharika wa Segerea Wilaya ya Ilala, limechomwa moto na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia jana. Tukio hilo lilitokea saa saba usiku,...
View ArticleMADIWANI WALIOTIMULIWA BUKOBA WAMFANYA KAGASHEKI APIGWE MARAFUKU KUSHIRIKI...
Suala la kutimuliwa kwa madiwani wanane wa CCM katika Manispaa ya Bukoba limeingia sura mpya baada ya Kamati Kuu kuwazuia Meya, Dk Anatory Amani na Mbunge wa Bukoba Mjini, Balozi Khamis Kagasheki...
View ArticleJWTZ YATOA UFAFANUZI KUHUSU MWANAJESHI WAKE ALIYETOROKA NA KUKIMBILIA RWANDA
JESHI LA wananchi wa Tanzania (JWTZ), limetoa ufafanuzi kwa kusema kuwa askari wake aliyetoroka jeshini Luteni Kanali Coelestine C. Seromba kwa kusema kuwa ni mzaliwa wa Kagera na siyo Rwanda.Jeshi...
View ArticleVIOJA VYA TRAFIKI FEKI MBELE YA HAKIMU MFAWIDHI -ILALA
JAMES Hussein, mkazi wa Kimara, Dar alikuwa na wakati mgumu wa kukwepa kamera zilizotua Mahakama ya Wilaya Ilala, jijini Dar juzi baada ya kufikishwa kwa kosa la kujifanya trafiki. Tukio hilo...
View ArticlePOMBE YAMFANYA MADEE AWE MILIONEA
Hit maker wa Sio Mimi aka Pombe yangu, Madee amesema hadi sasa ameshaingiza zaidi ya shilingi milioni 130 kutokana na show mbalimbali alizopata hivi karibuni tangu aachie wimbo wake huo. Madee...
View ArticleSAKATA ZIMA LA KUKAMATWA KWA FREEMAN MBOWE, TUNDU LISU NA MSIGWA. MKOANI...
RPC Ramadhan Mungi. Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, wabunge Tundu Lissu, Peter Msigwa, Joseph Mbilinyi (Sugu), David Silinde na viongozi wengine wa mkoa na Wilaya ya Iringa mjini, akiwemo Diwani...
View ArticleHATIMAYE "FOOLISH AGE" YA LULU MICHAEL YARUHUSIWA BAADA YA KUZUIWA
Bodi ya ukaguzi wa filamu Tanzania imeridhia na kuiruhusu filamu ya Foolish Age ya Lulu Michael iingie sokoni baada ya kuizuia hapo juzi.... Filam hiyo ilizuiliwa kutokana...
View ArticleDILLISH TOKA NAMIBIA AIBUKA MSHINDI WA BIG BROTHER AFRICA 2013
Fainali za Big Brother zimefikia tamati usiku huu zikiwa na washiriki watano ambao ni Beverly, Melvin, Cleo, Elikem na Dillish. Mshiriki wa kwanza kutolewa alikuwa ni Beverly...
View ArticleNICK MBISHI ATANGAZA RASIMI KUWA YEYE NI MUATHIRIKA WA UKIMWI
Tumekuwa tukishuhudiwa vituko mbalimbali vya wasanii wetu ambao wamekuwa wakihangaika usiku na mchana kuusaka umaarufu.... Wapo ambao wamekuwa wakivua nguo zao jukwaani, wapo ambao...
View ArticleMTOTO WA MIAKA 8 AOLEWA NA MWANAUME WA MIAKA 38...POLISI WAINGILIA KATI.
Mwanaume aliyetajwa kwa jina moja la Samson (38), mkazi wa Kijiji cha Mindukeni, Tarafa ya Tarawanda katika Wilaya ya Bagamoyo, Pwani amefanya maajabu ya milenia baada ya kudaiwa kuoa mtoto mwenye umri...
View ArticleWEMA SEPETU ADAIWA KUJIHUSISHA NA BIASHARA YA MADAWA YA KULEVYA
Skendo ya mastaa mbalimbali Bongo kutajwa katika biashara na usafirishaji wa madawa ya kulevya ‘unga’ linazidi kuchukua sura mpya ambapo tayari majina ya wasanii wawili wakubwa, Wema Isaac Sepetu na...
View ArticleDADA YAKE MBOWE AIKIMBIA CHADEMA NA KUJIUNGA CCM.....ADAI CHADEMA HAINA JIPYA
DADA wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Grace Mbowe, amejiunga na Chama Cha Mapinduzi ( CCM) akitokea Chadema, kwa kile alichodai haoni jambo jipya katika chama hicho.Grace...
View ArticleBINTI APEWA KICHAPO JIJINI ARUSHA BAADA YA KUKATISHA MITAA AKIWA NUSU UCHI...
Msichana mmoja ambaye jina lake halikujulika amejikukuta katika wakati mgumu baada ya kuzomewa na kuchapwa viboko na kundi la watu katika eneo la soko la nmc jiji arusha kwa madai ya kuvaa nguo fupi...
View ArticleWAKENYA WAWILI WAKUBALIANA KUMUOA MWANAMKE MMOJA
Wanaume wawili nchini Kenya wameibuka na mbinu isiyo ya kawaida ya kupata suluhu ya kupigania mwanamke ambaye wote wanampenda kwa kusaini mkataba wakikubaliana kuishi nae kwa zamu. Silvester Mwendwa...
View ArticleJESHI LA POLISI LAMWAGA AJIRA.....
JESHI la Polisi nchini, limetangaza ajira mpya kwa vijana waliohitimu kidato cha nne na sita mwaka jana. Taarifa za jeshi hilo, ambazo zimewekwa kwenye mtandao wa jeshi hilo, zinasema vijana katika...
View Article