RPC Ramadhan Mungi.
Mwenyekiti
wa CHADEMA Freeman Mbowe, wabunge Tundu Lissu, Peter Msigwa, Joseph
Mbilinyi (Sugu), David Silinde na viongozi wengine wa mkoa na Wilaya ya
Iringa mjini, akiwemo Diwani Nyalusi, wamekamatwa na Jeshi la Polisi,
Kituo Kikuu Iringa na kuhojiwa kwa masaa matatu.
Viongozi hao walikamatwa majira
ya saa 3 asubuhi katikati ya mji wa Iringa wakati
↧