Hit maker wa Sio Mimi aka Pombe yangu,
Madee amesema hadi sasa ameshaingiza zaidi ya shilingi milioni 130
kutokana na show mbalimbali alizopata hivi karibuni tangu aachie wimbo
wake huo.
Madee amesema pamoja na show za kawaida,
makampuni ya simu yameshamsainisha show zaidi ya 12 ambazo zimekuwa
zikimpa mkwanja wa nguvu.
Akiongea na mwandishi wetu, Madee
amesema pia muziki
↧