Msichana
mmoja
ambaye jina lake halikujulika amejikukuta katika wakati mgumu baada ya
kuzomewa na kuchapwa viboko na kundi la watu katika eneo la soko la
nmc jiji arusha kwa madai ya kuvaa nguo fupi hali iliyowalazimu
wasamaria wema kuingilia kati na kutumia nguvu kubwa ili kumwokoa na
kumsitili kwa kumfunika na nguo zingine.
Watu walio shuhudia tukio hilo wamedai kuchukizwa na
↧