DADA wa
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Grace Mbowe,
amejiunga na Chama Cha Mapinduzi ( CCM) akitokea Chadema, kwa kile
alichodai haoni jambo jipya katika chama hicho.Grace amesema
amehama kutokana na kuwepo propaganda zisizotekelezeka. Hata hivyo,
amesisitiza kwamba kuwepo kwake katika Chadema, siyo kwa sababu ya
familia.Alikabidhi kadi hiyo jana kwenye
↧