Skendo ya mastaa mbalimbali Bongo kutajwa katika biashara na
usafirishaji wa madawa ya kulevya ‘unga’ linazidi kuchukua sura mpya
ambapo tayari majina ya wasanii wawili wakubwa, Wema Isaac Sepetu na
Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’ yametajwa huku kinachowaponza
kikijulikana.
Habari zinadai kuwa mastaa hao wameanza kujutia tambo zao za kutangaza
utajiri walionao hivyo kuibua maswali kuwa
↧