Mwanaume aliyetajwa kwa jina moja la Samson (38), mkazi
wa Kijiji cha Mindukeni, Tarafa ya Tarawanda katika Wilaya ya Bagamoyo,
Pwani amefanya maajabu ya milenia baada ya kudaiwa kuoa mtoto mwenye
umri wa miaka nane .
Habari za kiuchunguzi zilisema kuwa mwanaume huyo
ambaye tayari alishaoa mke wa kwanza, alidaiwa kumtorosha mtoto huyo
nyumbani kwao, Iringa.
Ilidaiwa kuwa Samson alifanya
↧