<!-- adsense -->
Mwanamziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amegeuka gumzo nchini Kenya
baada ya mrembo mmoja aliyejipatia jina kupitia Runinga ya KTN, Angel
Maggy kutangaza penzi lao upya kwa mara nyingine.
Kwa mujibu wa vyombo vya habari za burudani vya Kenya, mara baada ya
Diamond kufanya shoo mbili katika Miji ya Nairobi na Mombasa nchini
humo, alipogeuza kisogo kurejea Bongo ndipo
↧