Msanii
wa filamu Elizabeth Michael (Lulu) akiweka sahihi yake kuashiria
amekubaliana na taratibu zote alizoelekezwa na Bodi ya Filamu wakati wa
ukaguzi wa filamu yake ya “Foolish Age”.Katibu
Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fissoo akiwaonyesha wajumbe
pamoja na wahusika wa Kampuni ya Proin Promotions baadhi ya maeneo
muhimu ya kufanyiwa marekebisho wakati walipowasilisha filamu
↧