Fundi baiskeli mmoja
mkaazi wa mtaa wa Nsemlwa, wilaya ya Mpanda, mkoa wa Katavi, Athumani
Mussa (54) amefikishwa jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Wilaya
ya Mpanda kwa tuhuma za kumlawiti (kunajisi) mdomoni mtoto msichana (4)
baada ya kumdanganya kumpatia mdoli wa kuchezea.Mtuhumiwa
alifikishwa mahakamani hapo na kusomewa mashitaka na mwendesha
mashitaka mkaguzi wa
↧