Diamond apewa mvua ya matusi baada ya "kuwatia dole" mashabiki wake....
Mashabiki wa Diamond Platnumz hawajaipenda picha yake inayomuonesha akionesha kidole cha kati aka ‘the middle finger’. “Is this the right finger that you are talkin about @roma2030 …?” ameandika kwenye...
View ArticleMwanamke ajilipua kwa petroli baada ya mumuwe kuoa mke wa pili huko Geita.
<!-- adsense --> MWANAMKE mmoja ambaye ni mkazi wa Kijiji cha Nyankumbu, Kata ya Kalangalala mkoani Geita amenusurika kifo baada ya kujimwagia mwilini mafuta ya petroli kisha kujilipua baada ya...
View ArticleMh. Wenje atiwa mbaroni kwa kuongoza maandano ya CHADEMA jijini mwanza
Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza linamshikilia kwa mahojiano Mbunge wa Nyamagana jijini humo,Mh Ezekiel Wenje kwa madai ya kuongoza maandamano yaliyosambaratishwa na polisi hapo jana kwa kutumia mabomu...
View ArticleSerikali yakanusha kuwa Mama Salma Kikwete si Mnyarwanda na wala Kikwete si...
Msemaji Mkuu wa Serikali ambaye ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO Assah Mwambene leo jijini Dar es Salaam alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara hiyo amekanusha...
View ArticleBasi la Turu lachomwa moto na wanakijiji....Abiria 60 wamenusurika
Abiria wapatao 60 waliokuwa wanasafiri na basi la Turu linalofanya safari zake kati ya mkoa wa Singida na Haidom mkoani Manyara, wamelazimishwa kuteremka toka ndani ya basi hilo na wananchi zaidi ya...
View ArticleKilichomfanya mbuge Wenje atiwe mbaroni ni Uchochezi
SIKU moja baada ya Jeshi la Polisi mkoani hapa kulazimika kutumia mabomu ya kutoa machozi kuwatawanya wananchi na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), waliokuwa wakiandamana kutoka...
View ArticleGodbless Lema augua ghafla, kesi yake yaahirishwa
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha jana imeshindwa kuanza kusikiliza kesi ya uchochezi inayomkabili Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo, kutokana na...
View ArticleDIAMOND PLATNUMZ ATAJWA SAKATA LA UNGA, AHUSISWA NA MTANDAO WA MASOGANGE
KWA mara ya kwanza tangu lilipoibuka sakata la watu maarufu kujihusisha ama na utumiaji au usafirishaji wa dawa za kulevya, jina la mwanamuziki anayeaminika kuwa na ukwasi mkubwa kwa sasa hapa nchini,...
View ArticleMAMBO 100 USIYOYAJUA KUHUSU CHOKOCHOKO ZA RWANDA KWA TANZANIA.....
Historia ya Rwanda ni ndefu iliyojaa misukosuko ya kisiasa, kupinduana, vita na mauaji ya wenyewe kwa wenye yaliyosababishwa na ubaguzi wa kikabila. Rwanda imekuwa ikipita katika vipindi vigumu na...
View ArticleHII NDO KAULI YA DIAMOND BAADA YA KUHUSISHWA NA BIASHARA YA MADAWA YA KULEVYA
Msanii Wa Muziki wa Bongofleva mwenye jina kubwa Town na mwenye Mkwanja mkubwa hapa nchini Nasseeb Abdulmaliki“Diamond” amejitokeza na kukanusha kuwa hahusiki na biashara ya madawa ya kulevya. Kwa...
View ArticleRAIS KIKWETE AFANYA MABADILIKO YA MAKATIBU WAKUU NA MANAIBU WAKE....
Imeandikwa na Na Magreth Kinabo na Eleuteri Mangi — RAIS Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko ya uongozi katika ngazi za juu za utendaji wa Serikalini kwenye nafasi za Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu...
View ArticleMFANYABIASHARA ALIYEJIREKODI AKIMLAWITI MFANYAKAZI WA DUKANI AKAMATWA
JESHI la Polisi mkoani Kilimanjaro limemkamata mfanyabiashara mashuhuri wa mjini Moshi, Totolii Kimath anayedaiwa kurekodi mkanda wa video ukimwonyesha akimlawiti mfanyakazi wake wa dukani. Kamanda...
View ArticleVIDEO TATU ZA MFANYABIASHARA WA MOSHI AKIMLAWITI MFANYAKAZI WA DUKANI....
<!-- adsense --> JESHI la Polisi mkoani Kilimanjaro limemkamata mfanyabiashara mashuhuri wa mjini Moshi, Totolii Kimath anayedaiwa kurekodi mkanda wa video ukimwonyesha akimlawiti mfanyakazi...
View ArticleRWANDA NA UGANDA WAJITOA BANDARI YA DAR ES SALAAM
Chama cha Wasafirishaji wa Mafuta Tanzania (Tatoa), kimesema Rwanda na Uganda zitajitoa kutumia Bandari ya Dar es Salaam kuanzia Septemba Mosi, mwaka huu. Katibu Mtendaji wa Tatoa, Zacharia Hanspope...
View ArticlePOLISI FEKI 7 WANASWA TENA....
SIKU chache baada ya kukamatwa kwa askari feki wa usalama barabarani, Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, imewakamata watuhumiwa saba wa ujambazi, wakiwa na sare za Polisi, huku mwingine akijifanya...
View ArticleWATUMISHI WA ZAHANATI WATUHUMIWA KUFANYA MAPENZI NA WAGONJWA....
WATUMISHI wawili katika zahanati ya Mwanhala wilayani Nzega, wamekumbwa na kashfa ya kufanya mapenzi na wagonjwa hospitalini. Kutokana na kashfa hiyo, Mkuu wa Wilaya ya Nzega, Bitun Msangi, ameiagiza...
View ArticleMKE AFUMANIWA AKIMSALITI MUMEWE CHOONI....
Mwanaume aliyetambulika kwa jina moja la Juma, mkazi wa Tegeta A, Dar amejikuta akikamuliwa faini ya Sh. laki tano kufuatia kufumwa ugoni na mke wa mtu. Katika tukio hilo lililojiri...
View ArticleTUNDAMAN AFANIKIWA KUWATOROKA POLISI AKIWA NUSU UCHI....KISA NI DENI LA LAKI...
Msanii Tundaman amejikuta akiambulia aibu ya mwaka baada ya kujitosa nusu uchi mtaani akiwakwepa askari polisi ambao walivamia kwake leo asubuhi kwa lengo la kumkamata.... Chanzo cha Tunda man kusakwa...
View ArticleMKUU WA FFU - ARUSHA NA POLISI WENGINE WATATU WAFUKUZWA KAZI
Imeandikwa na Lydia Churi — Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewavua madaraka Maafisa wanne wa Jeshi la Polisi nchini na kumsimamisha kazi mmoja ambaye atafunguliwa mashtaka ya...
View ArticleWATU SABA WANUSURIKA KWA AJALI YA NDEGE ILIYOTUA ZIWA MANYARA
Ndege ndogo ya shirika la Tanzanair iliyokuwa ikitokea mjini Bukoba mkoani Kagera kwenda Dar ss Salaam imelazimika kutua kwa dharura katika ziwa Manyara baada ya injini yake moja kuzimika ghafla ikiwa...
View Article