MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha jana imeshindwa kuanza
kusikiliza kesi ya uchochezi inayomkabili Mbunge wa Arusha Mjini,
Godbless Lema, dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo, kutokana
na mbunge huyo kuwa mgonjwa.
Wakili wa Lema, Method Kimomogoro, aliieleza mahakama hiyo mbele
ya Hakimu Mkazi, Hawa Mguruta, anayesikiliza shauri hilo kuwa Lema
anaumwa na alikuwa amelazwa
↧