SIKU moja baada ya Jeshi la Polisi mkoani hapa kulazimika
kutumia mabomu ya kutoa machozi kuwatawanya wananchi na wafuasi wa Chama
cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), waliokuwa wakiandamana kutoka
Uwanja wa Furahisha kuelekea Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, mbunge wa Nyamagana
jijini Mwanza, Ezekiel Wenje (CHADEMA), amekamatwa akituhumiwa kutenda
makosa mawili.
Wenje alishikiliwa jana
↧