KWA mara ya kwanza tangu lilipoibuka sakata la watu maarufu kujihusisha
ama na utumiaji au usafirishaji wa dawa za kulevya, jina la mwanamuziki
anayeaminika kuwa na ukwasi mkubwa kwa sasa hapa nchini, Nasseeb
Abdulmaliki, maarufu zaidi kwa jina la Diamond, limeanza kutajwa kuwa ni
miongoni mwa vigogo wa ‘unga.’Tayari mjadala mkubwa wa chini
chini umeibuka kwa watu mbalimbali wakiwemo
↧