Historia ya Rwanda ni ndefu iliyojaa misukosuko ya
kisiasa, kupinduana, vita na mauaji ya wenyewe kwa wenye
yaliyosababishwa na ubaguzi wa kikabila.
Rwanda imekuwa ikipita katika vipindi vigumu na
vya hatari. Vipindi hivi hufuatana na mauaji ya raia wa nchi hiyo, sio
tu kutokana na sababu za ukabila bali pia uongozi mbaya wa kisiasa.
↧