Msanii Wa Muziki wa Bongofleva mwenye
jina kubwa Town na mwenye Mkwanja mkubwa hapa nchini Nasseeb Abdulmaliki“Diamond” amejitokeza na kukanusha kuwa hahusiki na biashara ya madawa
ya kulevya.
Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na
taarifa za Diamond kujihusisha na biashara hiyo hasa kutokana na ukaribu
wake na wafanyabiashara wakubwa wa dawa za kulevya wenye maskani yao
nchini Afrika
↧