Imeandikwa na Na Magreth Kinabo na Eleuteri Mangi — RAIS
Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko ya uongozi katika ngazi za juu za
utendaji wa Serikalini kwenye nafasi za Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu
Wakuu katika Wizara mbalimbali, ambapo wapo waliohamishwa,
wataopangiwa kazi nyingine na yumo anayestaafu.Kauli hiyo
ilitolewa leo jioni na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue wakati
↧