JESHI la Polisi mkoani Kilimanjaro limemkamata mfanyabiashara
mashuhuri wa mjini Moshi, Totolii Kimath anayedaiwa kurekodi mkanda wa
video ukimwonyesha akimlawiti mfanyakazi wake wa dukani.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Robert Boaz, aliliambia
Tanzania Daima kuwa kijana huyo ambaye anamiliki maduka ya kuuza na
kutengeneza CD katika kituo kikuu cha mabasi cha mjini
↧