<!-- adsense -->
MWANAMKE mmoja ambaye ni mkazi wa Kijiji cha Nyankumbu, Kata ya
Kalangalala mkoani Geita amenusurika kifo baada ya kujimwagia mwilini
mafuta ya petroli kisha kujilipua baada ya mumewe kuoa mke wa pili.
Imeelezwa
kuwa mwanamke huyo, Anastazia Kubezya (28) Agosti 8 mwaka huu aliamua
kujimiminia petroli mwili mzima kabla ya kuchukua kiberiti na kujilipua,
hali
↧