Mwanaume aliyetambulika kwa jina moja la Juma, mkazi wa Tegeta
A, Dar amejikuta akikamuliwa faini ya Sh. laki tano kufuatia kufumwa
ugoni na mke wa mtu.
Katika tukio hilo lililojiri
Kimara-King’ong’o, Dar, Jumapili iliyopita, Juma alifumaniwa na mke wa
mwanaume aitwaye Swai aliyetajwa kwa jina moja la Cesilia, mkazi wa
maeneo hayo.
Ilidaiwa kuwa Cesilia alimwachia mumewe mtoto na
↧