Ujumbe wa Ray C kwa wavuta bangi wote...
Ray C ambaye aliathirika na matumizi ya dawa za kulevya na baadae kupona ameendelea kuwa kioo cha jamii kwa ku-share experience yake baada ya kupona kwenye ishu ya dawa za kulevya. Msanii huyo...
View ArticleMwanamke mwingine abakwa na kuchomekwa miti sehemu za siri
Ikiwa ni siku chache baada ya mwnamke mmoja mkazi wa kahama kubabwa na kutobolewa macho huku akichomekwa kisu sehemu zake za siri, mitandao ya kinigeria nayo imeripoti unyama...
View ArticleMiss utalii aliyepiga picha za uchi na Manaiki apewa kichapo cha mbwa mwitu
Zile picha za aibu zilizoongoza kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii nchini pamoja na nje ya nchi hasa nchini Kenya zilizokuwa zikimuonesha mwanamuziki na msanii wa bongo muvi Manaiki Sanga akiwa na...
View ArticleAfisa wa jeshi atorokea Rwanda na siri nzito za jeshi letu....
OFISA wa cheo cha juu katika Jeshi la Wananchi (JWTZ), anayeaminika kuwa na asili ya Rwanda, ametoweka katika mazingira ya kutatanisha, huku akiacha wingu la mashaka kwamba, hatua yake hiyo inaweza...
View ArticleMtandao wa Rwanda wadai Rais Kikwete si Mtanzania Original
Mtandao wa News of Rwanda juzi umeandika makala yenye kichwa cha habari, ‘If President Kikwete is Tanzanian, then most Rwandans being expelled are Tanzanians too’ na kuandika kile linachodai kuwa Rais...
View ArticleMwalimu wa miaka 30 amuweka kinyumba mwanafunzi wake wa miaka 14
MWANAFUNZI wa darasa la saba katika Shule ya Msingi ya Sokoine, Manispaa ya Dodoma (jina linahifadhiwa), anadaiwa kuwekwa kinyumba na mwalimu wake David Macha (30). Mwanafunzi huyo wa miaka 14 ni kati...
View ArticleHuyu ndo Mangunga aliyewatoroka akina Masogange baada ya polisi kuwanasa
Waziri wa uchukuzi Prof. Harrison Mwakyembe alimtaja mshukiwa mmoja wa dawa za kulevya aitaye Nassoro Mangunga na kuwataka polisi wamtie nguvuni popote atakapoonekana.... Hata hivyo, mshukiwa...
View ArticleWafuasi wa Sheik Ponda wapiga kambi katika gereza la Segerea
Wafuasi wa Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda wamepiga kambi katika Gereza la Segerea, Dar es Salaam wakitaka kumwona bila mafanikio. Wakizungumza jana nje ya...
View ArticleMtoto apigwa na kulishwa Mavi na baba yake mzazi huko Mara
MWALIMU wa Shule ya Msingi Morotonga, wilayani Serengeti, Mkoa wa Mara, Karata Mugunda, anashikiliwa na Jeshi la Polisi wilayani hapa, kwa tuhuma za kumpiga na kumlisha kinyesi mtoto wake wa kumzaa...
View ArticleMadiwani waliotimuliwa CCM wadai kuwa wako tayari kuhamia CHADEMA
MADIWANI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), waliofukuzwa katika Manispaa ya Bukoba, wamesema wako tayari kuhamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kama chama chao kitaendelea na msimamo wa...
View ArticleMwanamke avunjwa nyonga na kunyolewa nywele kwa kisu na mume wake
Tajiri ambaye ni mfanyabishara mkubwa katika maduka ya Kariakoo, Dar aliyetajwa kwa jina moja la Urio anadaiwa kumvunja nyonga na kumjeruhi mkewe Eva Pascal anayeuguza majeraha kwenye Hospitali ya...
View ArticleMume wa mtu afumaniwa Gesti akingonoka na binti yake
Mwanaume aliyetajwa kwa jina moja la Temba, mkazi wa Kimara-Rombo, Dar ambaye ni dereva wa daladala amefumaniwa laivu na mkewe akiwa gesti na binti yao wanayemlea. Tukio hilo la aina yake lilijiri wiki...
View ArticleUpdate: Sheik Ponda afikishwa Mahakamani chini ya ulinzi mkali
Katibu Mkuu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Issa Ponda muda huu amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya mkoa wa Morogoro. Sheikh Ponda amefikishwa mahakamani hapo chini ya ulinzi...
View ArticleBibi kizee mchawi adondoka wakati akiwanga saa mbili usiku
Watu wakimshangaa bibi aliyedaiwa kuwa mchawi. Ni aliyekaaa katikati. ...Akipewa chakula, wali na maharage kutoka kwa wasamaria wema. Akiwa kapakatia sahani la wali aliopewa. Watu waliokusanyika...
View ArticlePicha na habari kamili kuhusu vurugu zilizotokea jijini mwanza leo
MAANDAMANO ya amani yaliyokuwa yameandaliwa na chama cha demokrasia na maendeleo(chadema) yamegeuka shubiri kwa wakazi wa jiji la Mwanza baada ya kuibuka mapambano makali baina ya waandamanaji hao na...
View ArticleHaya ndo mashitaka matatu aliyosomewa Sheikh Ponda mahakamani leo
Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda leo amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi mkoa wa Morogoro kujibu mashitaka matatu yanayomkabili ambayo...
View Article"Waliopanda mbegu DECI watarudishiwa....."Hii ni kauli ya mahakama
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imewahukumu kwenda jela miaka mitatu au kulipa faini ya sh milioni 21 vigogo wanne wa iliyokuwa Kampuni ya Development Entrepreneurship for Community...
View ArticleMtawa wa kanisa katoliki avamiwa na kujeruhiwa huko zanzibar
MTAWA wa Kanisa Katoliki la Bububu visiwani Zanzibar, Sister Irene Ludovik Mwenda (34), amevamiwa na watu wasiojulikana na kushambuliwa na marungu, hali iliyomsababishia maumivu makali mwilini. Sakata...
View ArticleMtandao wa Kagame wadai kuwa Mama Salma Kikwete ni Mnyarwanda
Mtandao wa News of Rwanda umeendelea kutuchokonoa watanzania ili kuupima msimamo wetu..... Baada ya kukurupa na madai kwamba Rais Kikwete si mtanzania halisi na kwamba ni...
View ArticleUjumbe muhimu kwa wanaouza makalio yao mitandaoni.....
Unapiga Picha unaandika maneno mazuri tu na kupost Facebook ama Instragram ,''Asante Mungu kwa siku hii ya Jumatatu,AMEN''... Cha kushangaza ni kwamba picha yenyewe umepiga makalio yako na...
View Article