MAANDAMANO ya amani
yaliyokuwa yameandaliwa na chama cha demokrasia na maendeleo(chadema) yamegeuka
shubiri kwa wakazi wa jiji la Mwanza baada ya kuibuka mapambano makali baina ya
waandamanaji hao na jeshi la polisi mkoani Mwanza na kusababisha polisi kutumia
nguvu kuwatawanya wafuasi wa chama hicho.
Maandamano hayo ya amani
ambayo yalianzia katika eneo la Buzuruga nje kidogo ya jiji la
↧