Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda
leo amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi mkoa
wa Morogoro kujibu mashitaka matatu
yanayomkabili ambayo ni kutotii amri halali, kutoa maneno yenye nia ya
kuharibu imani za dini na kushawishi kutenda kosa.
Sheikh Ponda amefikishwa mjini Morogoro na helkopta
ya jeshi la polisi majira ya
↧