Watu wakimshangaa bibi aliyedaiwa kuwa mchawi. Ni aliyekaaa katikati.
...Akipewa chakula, wali na maharage kutoka kwa wasamaria wema.
Akiwa kapakatia sahani la wali aliopewa.
Watu waliokusanyika kumshangaa.
BIBI mmoja ambaye hakuweza kupatikana jina lake mara moja, jana
majira ya saa mbili usiku maeneo ya Chanika, jijini Dar es Salaam
alidaiwa kuanguka wakati akiwa katika
↧