MAJANGA: BABA MZAZI AMBAKA BINTI YAKE
Aziza Kibibi alikuwa na umri wa miaka minane tu wakati baba yake - Mwongozaji wa Tuzo za muziki za MTV - alipoanza kumbaka. Alipofika miaka 10, somo ambalo Aswad Ayinde alikuwa akimfundisha binti yake...
View ArticleSheikh Ponda aondolewa hospitalini na kupelekwa Gerezani
Wakili Nassor Jumaa anayesimamia Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda (54) ambaye kwa sasa anakabiliwa na kesi mpya ya kufanya uchochezi katika maeneo mbalimbali ya...
View Article"KIAMA CHA WASANII MAMISS KIMETIMIA.....FANI IMEWASHINDA NA WAMEKIMBILIA...
BAADA ya wasanii waliotoka kwenye mashindano ya u-miss kuvuma sana na kupotea ghafla, msanii mkongwe kunako gemu la filamu Bongo, Salome Ndumbagwe Misayo ‘Thea’ amefunguka na kudai utabiri wake...
View Article"LEO NITAWAANIKA VIGOGO WOTE AMBAO NI WAUZA UNGA ".....MWAKYEMBE
Siku moja baada ya kufanya ziara ya ghafla Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe amesema leo ataweka hadharani majina ya watu wanaosafirisha...
View ArticleBINTI ANYIMWA KUGOMBEA UONGOZI KWA SABABU NI MZURI KUPITA KIASI
Msichana mrembo kutoka Iran amejikuta akikosa nafasi ya uongozi katika halmashauri ya jiji lake kwa kuambiwa kuwa yeye ni mzuri sana hivyo amepitiliza sifa za nafasi hiyo. Nina Siahkali Moradi (27),...
View ArticleDaktari aliyemtibu Sheikh Ponda atiwa mbaroni.....
Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda ambaye alikuwa amelazwa katika Taasisi ya Tiba na Mifupa (Moi), jana aliondolewa na kupelekwa katika Gereza la Segerea, Dar...
View ArticleMTANZANIA AKAMATWA HONG KONG NA MADAWA YA KULEVYA YAKIWA NDANI YA MASHINE
Kwa mara nyingine, maafisa wa Hong Kong katika kiwanja cha ndege wamefanikiwa kukamata dawa za kulevya zilizokuwa zinasafirishwa kutokea Tanzania safari hii zikiwa zimefichwa katikati ya chuma cha...
View ArticleWACHOMEWA NYUMBA WAKIDAIWA KUIBA KWENYE GARI LILILOPATA AJALI
NYUMBA sita katika eneo la Mbwewe wilayani Bagamoyo mkoani Pwani zimeteketezwa kwa moto na watu. Inaelezwa kuwa hatua hiyo imechukuliwa baada ya kudaiwa kuwa wakazi wa nyumba hizo walihusika na wizi wa...
View ArticleHuyu ndo kijana aliyekamwa na Mwakyembe akisafirisha madawa ya kulevya Airport
Habari ambayo imeripotiwa na ITV inadai kwamba baada ya siku moja ya ziara ya kushtukiza ya Waziri wa uchukuzi Dk. Harison Mwakyembe kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini...
View ArticleWananchi waua majambazi mawili jijini Mwanza
WATU wawili wanaodaiwa kuwa ni majambazi wameuawa na wananchi mkoani Mwanza wakati wakijaribu kuiba katika kituo cha mafuta cha GBP. Akizungunzumza na mwandishi wetu, shuhuda mmoja ambaye alikuwa eneo...
View ArticleMwakyembe awafukuza kazi waliomsaidia Agness Masigange kupitisha madawa ya...
Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe ametoa agizo kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) kuwafukuza kazi na kuliagiza jeshi la Polisi nchini kuwaunganisha na wengine kwenye kesi mahakamani ili...
View ArticleMwanamke abakwa na kuchomekwa kisu sehemu za siri huko Shinyanga
Mwanamke mmoja anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 25 hadi 30 amekutwa amekufa katika makaburi ya Majengo soko la mjini Kahama mkoani Shinyanga huku mwili wake ukiwa ametobolewa macho na kuonesha...
View ArticleMoto ulitokea kwenye mitambo ya vodacom jana lakini emeshadhibitiwa
Moto ulitokea kwenye betri za mitambo ya simu lakini mitambo yetu ipo salama. Wataalamu wa mtandao wanaendelea kurudisha umeme ili kurudisha huduma za simu.Tunawashukuru kwa uvumilivu wenu na kuwaomba...
View ArticleShahidi wa tano aeleza alivyolazimishwa kuzini na mchungaji wa TAG
SHAHIDI wa tano katika kesi ya kutorosha wanafunzi inayomkabili Mchungaji wa Kanisa la TAG, raia wa Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo (DRC), Jean Felix Bamana ameieleza mahakama namna alivyolazimishwa...
View Article"Kutekwa kwa Sheikh Ponda ni harakati za serikali kuwapendelea...
SAKATA la Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, limeendelea kuwa gumzo katika maeneo mbalimbali, huku matamko makali yakitolewa dhidi ya Serikali.Sakata hilo...
View ArticlePolisi feki ajitetea...adai kuwa njaa ndo ilimfanya ajifanye traffic
MKANDA mzima wa askari bandia wa Kikosi cha Usalama Barabarani (trafiki), James Juma Hussein (45) aliyekamatwa saa 1:30 asubuhi ya Agosti, 14, 2013 maeneo ya Tabata Kinyerezi Mnara wa Voda, jijini Dar...
View ArticleFeza Kessy ayaanika matiti yake nje wakati wa uzinduzi wa Yahaya
Video ya yahala ilizinduliwa rasmi jana pande za nyumbani lounge. Baadhi ya wasanii kama Feza Kessy ambaye alikuwa mgeni rasmi, Vanessa Mdee na Mkolon... Pamoja na kuwa mgeni rasmi, Feza...
View ArticlePicha za utupu za wapenzi wengine zavuja...
<!-- adsense --> Wapiga picha za uchi wameendelea kuumbuka siku hadi hadi.... Baada ya picha chafu za msanii Manaiki Sanga kuvuja, mtandao huu umefanikiwa kuzinasa picha...
View ArticleRais wa Malawi ammwagia sifa Rais Kikwete...
RAIS wa Malawi, Joyce Banda amempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa kuimarisha demokrasia, amani na usalama katika nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za kusini mwa Afrika (SADC). Banda alitoa pongezi...
View ArticleCHADEMA yafukuza wanachama wake 8 -Ukonga
KAMATI ya Utendaji ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Ukonga imewafukuza uanachama wanachama wake wanane huku wawili wakipewa onyo kali kwa tuhuma za kukihujumu.Akizungumza na...
View Article