Msichana mrembo kutoka Iran amejikuta akikosa nafasi ya uongozi
katika halmashauri ya jiji lake kwa kuambiwa kuwa yeye ni mzuri sana
hivyo amepitiliza sifa za nafasi hiyo.
Nina Siahkali Moradi (27), alikuwa miongoni mwa wagombea katika
uchaguzi wa halmashauri ya jiji la Qazvin nchini Iran, ambapo baada ya
kura kuhesabiwa alikamata nafasi ya 14.
Lakini hata hivyo wiki moja
baadaye
↧