Siku moja baada ya kufanya ziara ya ghafla Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison
Mwakyembe amesema leo ataweka hadharani majina ya watu wanaosafirisha
dawa za kulevya nchini.
Dk Mwakyembe juzi alifanya ziara hiyo JNIA kukagua
utendaji kazi kwenye uwanja huo ikiwa ni siku chache baada ya kutokea
kashfa ya
↧