BAADA ya wasanii waliotoka kwenye mashindano ya u-miss kuvuma sana na
kupotea ghafla, msanii mkongwe kunako gemu la filamu Bongo, Salome
Ndumbagwe Misayo ‘Thea’ amefunguka na kudai utabiri wake umetimia.
Akizungumza
na mwandishi wetu hivi karibuni, Thea alisema miaka kadhaa iliyopita
alitabiri kuwa wasanii waliokuwa wanavuma sana ambao walitokea kwenye
mashindano ya u-miss, hawatadumu
↧