Wakili Nassor Jumaa anayesimamia Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam
nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda (54) ambaye kwa sasa anakabiliwa na
kesi mpya ya kufanya uchochezi katika maeneo mbalimbali ya Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania amezungumzia kitendo cha kumhamisha mteja wake
kutoka hositalini hadi Segerea.Leo hii majira ya saa 7 mchana
nje ya viwanja vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu
↧