Aziza Kibibi alikuwa na umri wa miaka minane tu wakati baba yake - Mwongozaji wa Tuzo za muziki za MTV - alipoanza kumbaka.
Alipofika miaka 10, somo ambalo Aswad Ayinde alikuwa akimfundisha binti
yake 'jinsi ya kuwa mwanamke' likabadilika na ubakaji wake wa mara kwa
mara ukazaa watoto watano kutokana na makosa ya kujamiiana kwa
kisingizio cha kujaribu kutengeneza damu 'halisi'.
Kwa namna
↧