Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh
Ponda Issa Ponda ambaye alikuwa amelazwa katika Taasisi ya Tiba na
Mifupa (Moi), jana aliondolewa na kupelekwa katika Gereza la Segerea,
Dar es Salaam.
Kitendo hicho kimelaaniwa vikali na familia yake na
wafuasi wake, ambao wamepanga kufanya maandamano makubwa leo ...
Sheikh Ponda, ambaye alisomewa shtaka la
uchochezi akiwa
↧