Kwa mara nyingine, maafisa wa Hong Kong katika kiwanja cha ndege
wamefanikiwa kukamata dawa za kulevya zilizokuwa zinasafirishwa kutokea
Tanzania safari hii zikiwa zimefichwa katikati ya chuma cha mashine.Dawa
hizo aina ya heroin zilikamatwa katika nyakati mbili tofauti kwa jumla
zikiwa na kilo 1.5 na thamani ya dola milioni 1.3 za Marekani.Maafisa
hao wanasema kwa kuwa wamekuwa
↧