NYUMBA sita katika eneo la Mbwewe wilayani Bagamoyo mkoani Pwani
zimeteketezwa kwa moto na watu. Inaelezwa kuwa hatua hiyo imechukuliwa
baada ya kudaiwa kuwa wakazi wa nyumba hizo walihusika na wizi wa
marobota na viatu yaliyokuwamo katika gari ya Fuso iliyopata ajali
katika eneo hilo.
Gari hiyo ilipata ajali katika eneo la Mbwewe katika barabara ya
Chalinze- Segera baada ya
↧