Habari ambayo imeripotiwa na ITV inadai kwamba baada ya siku
moja ya ziara ya kushtukiza ya Waziri wa uchukuzi Dk. Harison Mwakyembe
kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini
Dar-es-Salaam, kiasi kikubwa cha dawa za kulevya kimekamatwa uwanjani
hapo katika harakati za kusafirishwa kwenda nchi za nje.
Aliekamatwa ni kijana ambae alikua anazisafirisha hizo dawa
↧