Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe ametoa agizo kwa Mamlaka ya
Viwanja vya Ndege (TAA) kuwafukuza kazi na kuliagiza jeshi la Polisi
nchini kuwaunganisha na wengine kwenye kesi mahakamani ili kujibu
mashitaka ya jinai, wale wote waliohusika katika kuuwasaidia Agness
Gerald na mwenziye Mellisa Edward kupitisha dawa za kulevya aina ya
Crystal Methamphetamine "TIK" au "Meth" au "USAN
↧