Mwanamke mmoja anayekadiriwa
kuwa na umri kati ya miaka 25 hadi 30 amekutwa amekufa katika makaburi ya
Majengo soko la mjini Kahama mkoani Shinyanga huku mwili wake ukiwa ametobolewa
macho na kuonesha kupigwa na kitu kizito usoni.
Mwanamke huyo ambaye
hajatambulika jina lake na anakotoka alikuwa amevaa Blauzi nyeusi yenye madoa
meupe, viatu vyenye urembo wa silva, mnene kiasi, mweusi na
↧