Moto ulitokea kwenye betri za mitambo ya simu lakini mitambo yetu ipo
salama. Wataalamu wa mtandao wanaendelea kurudisha umeme ili kurudisha
huduma za simu.Tunawashukuru kwa
uvumilivu wenu na kuwaomba radhi kwa usumbufu. Tutaendelea kuwapa
taarifa za maendeleo ya ukarabati unavyoendelea. Juhudi zote zinafanywa
kuhakikisha huduma zinarudi hewani mapema iwezekanavyo.<!-- adsense -->
↧