MKANDA mzima wa askari bandia wa Kikosi cha Usalama Barabarani
(trafiki), James Juma Hussein (45) aliyekamatwa saa 1:30 asubuhi ya
Agosti, 14, 2013 maeneo ya Tabata Kinyerezi Mnara wa Voda, jijini Dar es
Salaam akiwa ndani ya sare zake za kazi, umepatikana....
Kwa nini James alikamatwa? Asubuhi hiyo, afisa mmoja wa trafiki
mwenye cheo cha ukaguzi alikuwa akipita eneo hilo kwenda kazini
↧