SAKATA la Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh
Ponda Issa Ponda, limeendelea kuwa gumzo katika maeneo mbalimbali, huku
matamko makali yakitolewa dhidi ya Serikali.Sakata hilo
limeonekana kutikisa na kutawala vyombo vya habari, baada ya kiongozi
huyo wa dini kudaiwa kupigwa risasi, kusomewa mashtaka kitandani na
baadaye kupelekwa gerezani chini ya ulinzi mkali
↧