KAMATI ya Utendaji ya
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Ukonga imewafukuza
uanachama wanachama wake wanane huku wawili wakipewa onyo kali kwa
tuhuma za kukihujumu.Akizungumza na Tanzania Daima Jumapili
ofisini kwake jijini Dar es Salaam jana, Katibu wa CHADEMA Jimbo la
Ukonga, Jumaa Mwipopo, alisema kuwa kwa muda mrefu kulikuwa na tuhuma za
wanachama hao kukihujumu
↧