Ray C ambaye aliathirika na
matumizi ya dawa za kulevya na baadae kupona ameendelea kuwa kioo cha
jamii kwa ku-share experience yake baada ya kupona kwenye ishu ya dawa
za kulevya.
Msanii huyo ametoa ujumbe mpya ambao ni muhimu kila mtu kuujua
kwasababu kwenye mazingira yetu kuna waathirika wengi wa dawa za
kulevya.
Haya ndiyo maneno ya Ray C mwenyewe
ambayo yana ujumbe mzuri
↧