BILIONEA MWINGINE AUAWA KWA KUPIGWA RISASI JIJINI DAR
MAUAJI ya wafanyabiashara wakubwa ‘mabilionea’ yameshika kasi nchini ambapo baada ya tajiri mkubwa Arusha, Erasto Msuya kuuawa kwa risasi hivi karibuni, Agosti 3, 2013 bilionea Elia Daniel Endeni (49)...
View ArticleDOGO JANJA AMPIGIA MAGOTI MADEE ILI AMRUDISHE TENA TIP TOP CONNECTION
Kuna kila ishara kuwa meli ya Watanashati Entertainment iliyomchukua Dogo Janja kwa mbwembwe nyingi, inaelekea kuzama na abiria wawili waliosalia, Dogo Janjaro na PNC wameanza kutafuta maboya haraka...
View ArticleCLINTON AMPONGEZA RAIS KAGAME.....ANADAI KUWA TUHUMA DHIDI YAKE...
Aliyekuwa rais wa marekani Bill Clinton amempongeza rais wa Rwanda Paul Kagame kwa mafanikio ya nchi yake licha ya madai kwamba amekuwa akiunga mkono makundi ya waasi katika Jamuhuri ya Kidemokrasia...
View ArticleMABINTI WAWILI WAKAMATWA AIRPORT NA MADAWA YA KULEVYA YENYE THAMANI YA...
Vitendo vya usafirishaji wa madawa ya kulevya vinazidi kuendelea duniani na safari hii wasichana wawili wadogo kabisa, mmoja ana umri wa miaka 19 na mwingine ana umri wa miaka 20 wote wawili...
View ArticleHAYA NDO MAJINA 250 YA WAUZA UNGA NA BANGI NCHINI TANZANIA.
<!--[if gte mso 9]> Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4<![endif]--><!--[if gte mso 9]>
View ArticleCHID BENZ ASIMULIA JINSI ALIVYOTHIRIWA NA BANGI NA MADAWA YA...
Rapper Chidi Benz leo kwa mdomo wake mwenyewe amekiri kuwa alikuwa akitumia madawa ya kulevya kwa miaka mingi. Chidi amefunguka leo kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM. Alisema japo hakwenda Nairobi...
View ArticleWANYARWANDA WALIOTIMULIWA TANZANIA WAKIMBILIA UGANDA AMBAKO NAKO WAMEKATALIWA
Wengi wa wahamiaji haramu waliokuwa mkoani Kagera ambao wengi wao ni wanyarwanda wamekimbilia Uganda kama wakimbizi lakini makambi ya wakimbizi huko Uganda yamekataa kuwapokea. Pamoja na serikali ya...
View ArticleCCM YAFUKUZA MADIWANI 8 WA MANISPAA YA BUKOBA
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kagera, leo kimewafukuza madiwani 8 wa Manispaa ya Bukoba kupitia chama hicho na kufutwa nyadhifa zao za udiwani kutokana na mgogoro uliokuwa ukiendelea Waliofukuzwa...
View Article"NITAENDELEA KUTETEA HAKI ZA WAISLAMU NA SITARUDI NYUMA NA RISASI ZAO...
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda amesema alichanganyikiwa kiasi cha kushindwa kujielewa kwa muda baada ya kupigwa risasi. Akizungumza katika mahojiano...
View ArticleMWANAFUNZI ATEKWA HUKO MOSHI NA KUFANYISHWA NGONO KWA SIKU NNE
MWANAFUNZI wa kidato cha kwanza katika shule ya sekondari Marangu inayomilikiwa na kanisa Katoliki jimbo la Moshi, (jina limehifadhiwa) alitekwa na kukufungiwa kwenye hoteli moja ya kitalii mjini hapa...
View ArticleRAIS KIKWETE AKUTANA NA "WAVUTA BANGI WASTAAFU" IKULU...... AMEITAKA JAMII...
RAIS Jakaya Kikwete ameiagiza Wizara ya Afya kupitia kitengo cha magonjwa ya akili pamoja na Tume ya Kuratibu Udhibiti wa Dawa za Kulevya nchini kushirikiana na Kituo cha Ushauri Nasaha cha Pili...
View ArticleDAKTARI AMTANDIKA NGUMI MGONJWA BAADA YA KUPISHANA KAULI....
Daktari mmoja nchini Urusi, Andrey Votyakov (bingwa katika fani ya usingizi) mapema mwezi uliopita alitimuliwa kazi baada ya video ya chumba cha upasuaji inayorekodi matukio (surveillance camera)...
View ArticleMTU NA MDOGO WAKE WAOANA JIJINI DAR ....POLISI WAINGILIA KATI NA KUDAI KWAMBA...
Kaka mtu akitiwa mbaroni MWANAFUNZI wa kidato cha pili jina kapuni (16), amejikuta akiozeshwa na wazazi wake kwa mwanaume aliyetambulika kwa jina la Kaizilege Jabiri (31) ambaye ni mtoto wa mama yake...
View ArticleNAPE NNAUYE AAGIZA MADIWANI WALIOFUKUZWA HUKO BUKOBA WARUDISHWE KAZINI HARAKA
Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Kagera jana tarehe 13/08/2013 katika kikao chake cha siku moja kilichofanyika mjini Bukoba imetangaza uamuzi wake wa kuwafutia dhamana ya CCM hivyo kuwavua Udiwani...
View ArticleREFA APIGWA MPAKA KUTOA MAVI HUKO SUMBAWANGA BAADA YA KUTUHUMIWA KUIPENDELEA...
Mwamuzi na wachezaji watatu wa timu ya Serengeti SC ya wilayani Sumbawanga mkoani Rukwa wamelazwa kwenye kituo cha Afya cha Laela baada kushambuliwa na kwa kupigwa sehemu mbalimbali za mwili katika...
View ArticleSHEIKH PONDA ASOMEWA MASHITAKA YA UCHOCHEZI AKIWA HOSPITALINI
Katibu Mkuu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda amesomewa mashitaka ya uchochezi na Mwanasheria wa serikali, akiwa wodini MOI anapoendelea kupata matibabu. Sheikh Ponda...
View ArticleVIDEO YA UTUPU YA MSHIRIKI WA BIG BROTHER TOKA NIGERIA YANASWA.....WADAU...
<!-- adsense --> Hivi unaweza kuamini mshiriki huyu ameweka rekodi ya BBA house baada ya kutokuwa nominated kwenye jumba la BBA tangu mashindano yaanze. Baadhi ya wadau wameanza kudai kuwa...
View ArticlePICHA ZA MAPOKEZI YA FEZA KESSY UWANJA WA NDEGE DAR
Mwakilishi wa Tanzania katika jumba la Big Brother 'The Chase' aliyetolewa Jumapili Agosti 11 Feza Kessy amewasili leo jioni Tanzania katika uwanja wa kimataifa wa Mwl J.K Nyerere jijini Dar es Salaam....
View ArticleHAYA NDO MASHITAKA ALIYOSOMEWA SHEIKH PONDA AKIWA HOSPITALINI
KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda (54), amesomewa shtaka akiwa kitandani katika Kitengo cha Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Mishipa ya Fahamu (MOI)....
View ArticleHAWEZI " KU SEX " MPAKA ASHIKILIE NA MKONO.......HUU NDO UFUMBUZI WA TATIZO
Mimi ni msichana nimewahi kuwa na rafiki wa kiume hapo nyuma, huyo kaka alikua tu kama rafikiyangu baadae ikatoke tukapendana na kuwa mtu na girlfriend wake I mean tulianza kutoka kama wapenzi. Huyo...
View Article