Vitendo vya usafirishaji wa madawa ya kulevya vinazidi kuendelea
duniani na safari hii wasichana wawili wadogo kabisa, mmoja ana umri wa
miaka 19 na mwingine ana umri wa miaka 20 wote wawili wamekamatwa kwenye
airport ya Lima nchini Peru wakijaribu kusafirisha mzigo huo.
Passport
za mabinti hao zinawatamburisha kama raia wa uingereza na huko ndiko
mzigo huo ulikuwa unaelekea.
Baada ya
↧